Share on:

Walimu kumwagiwa ajira 26,000 Januari

Naibu Waziri wa Nchi, Tamisemi, anayeshughulikia Elimu, Kassim MajaliwaSERIKALI imetangaza kutoa ajira mpya 26,000 za walimu kuanzia Januari mwakani, ikiwa ni mpango endelevu wa kupunguza uhaba wa walimu katika shule za msingi na sekondari nchini.